Header AD

WAREMBO MISS TANZANIA WATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA MIKUMI,

Warembo 30 wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2014 jana walitembelea hifadhi ya taifa ya Mikumi mkoani Morogoro kujionea vivutio mbalimbali vya utalii viliovyopo katika hifadhi hiyo ambapo waliweza kujionea wanyama wa aina mbalimbali wakiwepo, Tembo, Twiga, Swala, Viboko na Simba.
 Kaimu Mhifadhi Utalii wa Hifadhi ya Taifa Mikumi, Apaikunda Mungure akigawa vipeperushi kwa warembo.
Warembo walibahatika kuwaona Simba zaidi ya Saba wakiwamepumzika chini ya mti.
WAREMBO MISS TANZANIA WATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA MIKUMI, WAREMBO MISS TANZANIA WATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA MIKUMI, Reviewed by crispaseve on 01:54 Rating: 5

No comments

Post AD