LIVERPOOL YATOA KICHAPO KWA LUDOGORETS - UEFA
Baada
ya kukosa michuano ya ulaya kwa misimu kadhaa hatimaye klabu ya
Liverpool leo imerejea rasmi kwenye michuano hiyo wakianza kutupa karata
yao ya kugombea ubingwa huo kwa kucheza dhidi ya Ludogorets.Mechi hiyo iliyomalizika hivi punde kwenye dimba la Anfield ilikuwa ngumu huku wageni wakionekana kuwasumbua sana wenyeji.Lakini
magoli mawili ya mshambuliaji mpya wa Liverpool Mario Balotelli na
nahodha Steven Gerrard yalitosha kuwapa Liverpool ushindi wa kwanA
kwenye hatia ya makundi ya michuano hiyo.
Balotelli
alifunga goli dakika ya 81, kabla ya goli hilo kisawazishwa na Dani
Abalo dakika chache baadae, lakini huku zikiwa zimeongezwa dakika 2
Steven Gerrard akaiweka kambani penati yake na kuipa ushindi timu yake.
Liverpool:
Mignolet 6; Manquillo 6, Lovren 6.5, Sakho 6, Moreno 7.5; Henderson 7,
Gerrard 7, Lallana 6 (Borini 67, 6); Sterling 7, Coutinho 5 (Lucas 67,
6), Balotelli 5.
Subs: Brad Jones, Jose Enrique, Toure, Lambert, Suso.
Scorers: Balotelli, 81, Gerrard (pen), 90+2
Ludogorets: Borjan 6; Caicara 6, Moti 6.5, A Aleksandrov 6, Minev 6.5; Dyakov 7, Abel 7; M Aleksandrov 6.5, Marcelinho 6.5, Misidjan 6; Bezjak 6.
Subs: Gospodinov, Fabio Espinho, Angulo, Dani Abalo, Zlatinski, Wanderson, Younes.
Scorers: Dani Abalo
Referee: Matej Jug (Slovenia)
Subs: Brad Jones, Jose Enrique, Toure, Lambert, Suso.
Scorers: Balotelli, 81, Gerrard (pen), 90+2
Ludogorets: Borjan 6; Caicara 6, Moti 6.5, A Aleksandrov 6, Minev 6.5; Dyakov 7, Abel 7; M Aleksandrov 6.5, Marcelinho 6.5, Misidjan 6; Bezjak 6.
Subs: Gospodinov, Fabio Espinho, Angulo, Dani Abalo, Zlatinski, Wanderson, Younes.
Scorers: Dani Abalo
Referee: Matej Jug (Slovenia)
LIVERPOOL YATOA KICHAPO KWA LUDOGORETS - UEFA
Reviewed by crispaseve
on
09:11
Rating:

Post a Comment