BENKI YA EXIM KATIKA MKUTANO WA NANE WA MWAKA WA WAKAGUZI MAHESABU ARUSHA

Mkaguzi
Mkuu wa Mahesabu wa ndani wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. George Binde (wa
kwanza kulia) akiwapa kipeperushi chenye taarifa za huduma zitolewazo na benki
hiyo wateja walipotembelea banda la benki wakati wa mkutano wa nane wa mwaka wa
Ukaguzi wa Mahesabu ya Ndani ulioandaliwa na Taasisi ya Ukaguzi wa Mahesabu ya
Ndani (IIA) uliofanyika Arusha hivi karibuni. Pamoja ni Meneja Mauzo, Assed
Naqvi (wapili kulia) na Bw. Gabriel Milling Mkaguzi wa Mahesabu wa Ndani wa
Benki hiyo (wa tatu kulia). Picha na Mpiga Picha Wetu.

Wafanyakazi
wa Benki ya Exim Tanzania wakionyesha tuzo iliyopewa benki wakati wa mkutano wa
nane wa mwaka wa Ukaguzi wa Mahesabu Ya Ndani ulioandaliwa na Taasisi ya
Ukaguzi wa Mahesabu ya Ndani (IIA) uliofanyika Arusha hivi karibuni.
BENKI YA EXIM KATIKA MKUTANO WA NANE WA MWAKA WA WAKAGUZI MAHESABU ARUSHA
Reviewed by crispaseve
on
03:29
Rating:
Reviewed by crispaseve
on
03:29
Rating:

Post a Comment