Airtel yazindua Mashindano ya kuvumbua vipaji vya Muziki
Mkurugenzi wa kitengo cha Masoko wa Airtel Levi Nyakundi akiongea
wakati wa uzinduzi wa mashindano ya kusaka vipaji kupitia simu ya
mkononi yajulikanayo kama " Airtel TRACE Music Star" kwa lengo la
kukuza na kuvumbua vipaji vya wana muziki chipukizi na kuwawezesha
kufikia ndoto zao. Program hii ni kwa ushirikiano kati ya Airtel, kampuni ya Trace pamoja na Mwanamuziki wa Marekani Akon, uzinduzi huo ulifanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa high spirit - IT Plaza jijini Dar es saalam.

Mwanamuziki
wa Bongo Flava Ommy Dimples akitumbuiza wakati wa uzinduzi wa
mashindano ya kusaka vipaji kupitia simu ya mkononi yajulikanayo kama "
Airtel TRACE Music Star"kwa lengo la kukuza na kuvumbua vipaji vya wana
muziki chipukizi na kuwawezesha kufikia ndoto zao. Program hii ni kwa
ushirikiano kati ya Airtel, kampuni ya Trace pamoja na Mwanamuziki wa
Marekani Akon. uzinduzi huo ulifanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi
wa high spirit - IT Plaza jijini Dar es saalam
Mwanamuziki
wa Muziki wa kizazi Kipya AY na Mtangazaji maarufu nchini Salam Jabiri
wakiwa na baadhi ya wageni walioalikwa katika uzinduzi wa uzinduzi wa
mashindano ya kusaka vipaji kupitia simu ya mkononi yajulikanayo "
Airtel TRACE Music Star Program inayoendeshwa
ushirikiano kati ya Airtel, kampuni ya Trace pamoja na Mwanamuziki wa Marekani Akon. uzinduzi huo ulifanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa high spirit - IT Plaza jijini Dar es saalam
ushirikiano kati ya Airtel, kampuni ya Trace pamoja na Mwanamuziki wa Marekani Akon. uzinduzi huo ulifanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa high spirit - IT Plaza jijini Dar es saalam
baadhi ya waandishi wa habari na wageni waalikwa wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa uzinduzi wa Airtel Trace Music Star
Meneja
Uhusiano wa Airtel Bwana Jackson Mmbando akiwa na msaani wa muziki wa
kizazi kipya Lady JD wakati wa uzinduzi wa Airtel Trace Music Star
Mkurugenzi
Mkuu wa Airtel Tanzania Sunil Colaso akifatilia kwa karibu uzinduzi wa
program ya kusaka vipaji vya muziki ijulikanayo kama Airtel Trace Music
Star.
Airtel yazindua Mashindano ya kuvumbua vipaji vya Muziki
Reviewed by crispaseve
on
03:29
Rating:

Post a Comment