Header AD

BOND, GABO WANASWA WAKISAGA MIRUNGI


Stori: Gladness Mallya
WASANII wa filamu nchini, Bond Bin Sinan na Salim Ahmed ‘Gabo’ hivi karibuni walinaswa wakisaga mirungi hadharani bila kujali kadamnasi.
Meza ya wasanii wa filamu Gabo na Bond ikiwa na dozi ya kutosha ya mirungi.
Ishu hiyo ilitokea katika Ukumbi wa Dar West, Tabata Dar kulikokuwa na sherehe ya bethdei ya Wastara Juma ambapo wasanii hao walikuwa wamejaza mirungi kwenye mfuko wa nailoni na kuweka mezani huku wakitafuna kuanzia mwanzo hadi mwisho wa shughuli.…
BOND, GABO WANASWA WAKISAGA MIRUNGI BOND, GABO WANASWA WAKISAGA MIRUNGI Reviewed by crispaseve on 03:25 Rating: 5

No comments

Post AD