Caroline Bernard anyakua taji la Miss Universe 2014

Mrembo Caroline Bernard
akipungia mkono muda mfupi baada ya kutangazwa rasmi kuwa ndio Miss
Univerce 2014,katika hafla iliyofanyika usiku huu kwenye Ukumbi wa
Hoteli ya Golden Tulip,Jijini Dar es Salaam.Picha na Othman Michuzi

Mrembo Calorine Bernard akipongezwa na washiriki wenzake.
Caroline Bernard anyakua taji la Miss Universe 2014
Reviewed by crispaseve
on
03:23
Rating:
Reviewed by crispaseve
on
03:23
Rating:

Post a Comment