Header AD

HATIMAYE DIAMOND AONGELEA KUHUSU KUACHANA NA WEMA NA MAHUSIANO YAKE NA ZARI THE BOSS LADY


diamond na zari
Jana Nov 21, Diamond amesikika kwenye show ya XXL ambapo amezungumzia mambo mengi, baadhi ya yale aliyoyazungumzia ni pamoja na story zilizoenea mitandaoni kwamba mahusiano ya msanii huyo na Wema yameisha pamoja na story ambayo imetokana na kuenea kwa picha mitandaoni za msanii huyo na Zari the Boss Lady kutoka Uganda.
HATIMAYE DIAMOND AONGELEA KUHUSU KUACHANA NA WEMA NA MAHUSIANO YAKE NA ZARI THE BOSS LADY HATIMAYE DIAMOND AONGELEA KUHUSU KUACHANA NA WEMA NA MAHUSIANO YAKE NA ZARI THE BOSS LADY Reviewed by crispaseve on 12:38 Rating: 5

No comments

Post AD