Header AD

PICHA: KALA JEREMIAH AFANYA UZINDUZI WA VIDEO NA AUDIO YA NYIMBO YAKE MPYA YA "USIKATE TAMAA"

 
  Mshiriki wa Big Brother Hotshots, Irene La Veda akionyesha ufundi wa kutumia saxaphone ndani ya Ukumbi wa Miasha Club usiku wa kuamika leo.
  Kala Jeremiah akichana mistari. -
Mwanamziki wa Hip hop, Kala Jeremiah amezindua video yake ya Wimbo Usikate Tamaa  aliomshirikisha Nuruwell katika Ukumbi wa Maisha Club, jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo. Katika uzinduzi huo, Kala alisindikizwa na mastaa kibao wakiwemo Mo Music, Ben Pol, La Veda, Stamina, Ney Lee ambao waliporomosha shoo za nguvu na kuzikonga nyoyo za mashabiki waliohudhuria uzinduzi huo. Kala Jeremiah amesema audio na video zinatarajia kutoka rasmi siku ya Jumatano yaani tarehe 26/11/2014.(Picha na Pamoja Blog)
   Kala Jeremiah akiendelea kufanya ya kwake kwenye stage wakati wa uzinduzi video 'Usikate Tamaa'.
Mshiriki wa Big Brother Hotshots, Irene La Veda akionyesha ufundi wa kutumia saxaphone ndani ya Ukumbi wa Miasha Club usiku wa kuamika leo.
 Ney Lee akiimba kwa hisia kali.
 Mo Music akizidi kuwadatisha mashabiki ndani ya Maisha Club.
 Ben Pol akiwapa raha mashabiki wa Maisha Club usiku wa kuamkia leo kabla ya uzinduzi ya video 'Usikate Tamaa'.
PICHA: KALA JEREMIAH AFANYA UZINDUZI WA VIDEO NA AUDIO YA NYIMBO YAKE MPYA YA "USIKATE TAMAA" PICHA: KALA JEREMIAH AFANYA UZINDUZI WA VIDEO NA AUDIO YA NYIMBO YAKE MPYA YA "USIKATE TAMAA" Reviewed by crispaseve on 02:25 Rating: 5

No comments

Post AD