HII NDIO SUPRISE ALLY KIBA ALIYOIFANYA MATEI LOUNGE KWENYE ENTER COLLEGE BASH 2014 DODOMA,MADENT NUSURA KUPAGAWA
Ilikua suprise kubwa sana pale Ali Kiba alipomuita abdul kiba kwa stage,shangwe la aina yake lilisikika kutoka kwa mashabiki wa vyuon,wtu walisisimkwa na kutokwa vipele vya furaha pale dj mario alipo play kidela.....!!! |
Kiukwel hii ni shw ya kihistoria iliyohushuriwa na wala bata watupu toka vyuon,na maraia more toka kitaan,kuna walioondoka kwa matei saa moja na nusu asubuh,hii huja kwa mwaka mara moja tu!! |
HII NDIO SUPRISE ALLY KIBA ALIYOIFANYA MATEI LOUNGE KWENYE ENTER COLLEGE BASH 2014 DODOMA,MADENT NUSURA KUPAGAWA
Reviewed by crispaseve
on
03:52
Rating:

Post a Comment