Mh. Suluhu akutana na balozi wa Norway Nchini,afanya mazungumzo na Mchungaji Stella Matte
.jpg)
Barozi
wa Norway Nchini Tanzania Anne - Marie Kaarstad akizungumza na waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano Mheshimiwa Samia Suluhu
(kulia), alipomtembelea Ofisini kwake, mtaa wa Ruthuli jijini Dar es
Salaam leo.
.jpg)
Anne
Kristin Hermansen (kushoto),akiwa pamoja na Elisabeth Schwale
wakisikiliza mazungumzo baina ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais -
Muungano Mheshimiwa Samia Suluhu na Barozi wa Norway Nnchini Tanzania
Anne - Marie Kaarstad (hawapo pichani) walipomtembelea ofisini hapo leo.
.jpg)
Mchungaji
Stella Matte akitoa shukrani kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais
- Muungano Mheshimiwa Samia Suluhu (kulia), kwa kuhudhulia semina
waliyoandaa iliyohusu maswala ya uongozi, alipomtembelea ofisini kwake
leo mtaa wa Ruthuli jijini Dar es Salaam.
Mh. Suluhu akutana na balozi wa Norway Nchini,afanya mazungumzo na Mchungaji Stella Matte
Reviewed by crispaseve
on
07:24
Rating:
Reviewed by crispaseve
on
07:24
Rating:

Post a Comment