PICHA:ZIARA YA MWENYEKITI WA CHADEMA NA MBUNGE HAI FREEMAN MBOWE MKOANI TABORA,MAMIA WAJITOKEZA KWENYE MKUTANO WAKE WA HADHARA

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman
Mbowe akiwatambulisha viuongozi wa ngazi ya Kata wa Chama cha Wananchi
(CUF), kwenye mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika
kwenye Uwanja wa Paking mjini Nzega jana.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman
Mbowe akiagana na wananchi wa mji wa Nzega baada ya mkutano wa hadhara
wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja wa Paking jana.

PICHA:ZIARA YA MWENYEKITI WA CHADEMA NA MBUNGE HAI FREEMAN MBOWE MKOANI TABORA,MAMIA WAJITOKEZA KWENYE MKUTANO WAKE WA HADHARA
Reviewed by crispaseve
on
22:43
Rating:
Reviewed by crispaseve
on
22:43
Rating:

Post a Comment