TOYOTA TANZANIA YAWATUNUKU WAFANYAKAZI WAKE BORA, MMOJA ALAMBA TIKETI YA KWENDA JAPAN

Meneja
wa Karakana wa Kampuni ya Toyota Tanzania Ltd, Josee Alverace (kushoto)
na Mwenyekiti wa Toyota Tanzania, Mahmoud Karimjee (katikati)
wakimkabidhi zawadi mshindi wa kwanza wa jumla, Maria Robi wa Toyota
Mwanza, wakati wa hafla maalum ya 12 ya kuwapongeza na kuwatunukia
wafanyakazi bora wa mwaka 2014 wa Kampuni hiyo iliyofanyika mwishoni mwa
wiki kwenye Ofisi za Toyota zilizopo Barabara ya Nyerere jijini Dar es
Salaam. 

Washindi wakipokea zawadi zao...wakati wa hafla hiyo....

Mgeni
rasmi, Eng. Prisca Mkama, akimkabidhi zawadi ya mshindi Peter Louce,
wakati wa hafla maalum ya kuwapongeza na kuwatunukia wafanyakazi bora wa
mwaka 2014 wa Kampuni hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Ofisi
za Toyota zilizopo Barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam. Kushoto ni
Mwenyekiti wa Toyota Tanzania, Mahmoud Karimjee.

Mwenyekiti
wa Toyota Tanzania, Mahmoud Karimjee (kushoto) na mgeni rasmi Eng.
Prisca Mkama, wakipozi kwa picha na mshindi Anna Mzuri

TOYOTA TANZANIA YAWATUNUKU WAFANYAKAZI WAKE BORA, MMOJA ALAMBA TIKETI YA KWENDA JAPAN
Reviewed by crispaseve
on
07:37
Rating:
Reviewed by crispaseve
on
07:37
Rating:

Post a Comment