Waziri Mkuu wa zamani, Jaji Joseph Sinde Warioba Jana alipovamiwa na kikundi cha watu wachache kwenye mdahalo wa Kujadili Katiba iliyopendekezwa
Jaji Joseph Warioba akitoa mada.
Mtoa mada katika mdahalo wa kujadili Katiba
inayopendekezwa, Jaji Joseph Warioba akitoa mada kabla ya mkutano huo kuvunjika
katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Saam Jana
Vijana wakiwa na mabango.
Baadhi ya vijana walioingia na mabango ndani ya
ukumbi wa mkutano wakiwa na mabango yaliyokuwa yakisomeka ‘Katiba
inayopendekezwa tumeipokea tunaiunga mkono’
Mmoja wa vijana waliokuwa wakitoa maneno
ya kashfa kwa Jaji Warioba akiwanyooshea vidole viongozi wa meza Kuu.
Mabango yakiwa juu.
Fujo zinaanza.
Baadhi ya viti vilivyovujwa.
Aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya
Katiba, Humphrey Polepole akimzuia mmoja
wa vijana aliyekuwa na jazba mara baada ya kutokea kwa vurugu katika mdahalo wa
kujadili Katiba inayopendekeza.
Mlinzi wa Jaji Joseph Warioba (kushoto)
akimkinga kwa mikono ili asipate madhara baada ya mdahalo wa kujadili Katiba
inayopendekezwa kuvamiwa na kundi la vijana na kusababisha uvunjifu wa
amani.
Jaji Joseph Warioba akiangalia usalama wake
kabla ya kuondolewa mlinzi wake katika ukumbi wa Ubungo Plaza ambapo mdahalo wa
kuijadili Katiba inayopendekezwa ulikuwa ukifanyika kabla ya kuvunjika.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Joseph Butiku (katikati) akisindikizwa kuingia
katika chumba cha VIP mara baada ya kuvunjika kwa mdahalo wa kujadili Katiba
inayopendekezwa. Mdahalo huo uliandalia na taasisi hiyo.
Jaji Warioba akiwapungia mkono wananchi
waliokuwa wamefurika nje ya jengo la Ubungo Plaza ambako mdahalo wa kujadili
Katiba inayopendekezwa ulikuwa ukifanyika.
'Kwa herini
wananchi niko salama
Jaji Warioba akisindikizwa na makachero wa
Polisi.
Jaji Warioba akitoka katika ukumbi huku
akisindikizwa na askari kanzu.
Waziri Mkuu wa zamani, Jaji Joseph Sinde Warioba Jana alipovamiwa na kikundi cha watu wachache kwenye mdahalo wa Kujadili Katiba iliyopendekezwa
Reviewed by crispaseve
on
07:41
Rating:

Post a Comment