INAFRIKA BAND AKA WAZEE WA INDEGE WAMESHATUA UJERUMANI
Bendi
ya Muziki ya Inafrika Band aka "Wazee wa Indege" yenye
makao yake Chan'gombe jijini Dar-es-salaam imeshatua leo 9-12-2014
nchini Ujerumani kwa ziara ndefu ya nchi za ulaya,bendi inafanya kazi
chini ya mradi wa sarakasi ya MOTHER AFRICA imekuwa kivutio sana katika
maaonyesho hayo,kwa ajili ya mtindo wake wa muziki wenye vionjo vya
mitindo ya kiasili ya makabila ya Tanzania. Inafrika band ukipenda
waite"Wazee wa Indege" unaweza kusikiliza nyimbo zao katika mtandao wao
bofya www.infrikaband.co.tz au http://www.inafrikaband.co.tz



INAFRIKA BAND AKA WAZEE WA INDEGE WAMESHATUA UJERUMANI
Reviewed by crispaseve
on
04:58
Rating:
Reviewed by crispaseve
on
04:58
Rating:

Post a Comment