Header AD

KICHUPA KIPYA : JOH MAKINI Ft. GNAKO – XO [Official Video]

Mwamba wa kaskizini, Joh Makini ameachia rasmi video yake mpya ya ”XO”  akiwa amemshirkisha mwanafamilia mwenzake ‘Gnako Warawara’ anayewakilisha Crew ya Weusi.
Video imefanywa kwenye fukwe za Kigamboni jijini Dar es salaam chini ya muongozaji mahiri Nisher huku upande wa audio ikipikwa na Producer mtanzania mwenye makazi yake nchini Kenya anayefahamika kwa jina la Sappy.
NB : Maana ya neno XO ni ufupisho wa ”Busu na kumbatio” au kwa kimombo ”Kiss & Hug”.  Enjoy Video!
KICHUPA KIPYA : JOH MAKINI Ft. GNAKO – XO [Official Video] KICHUPA KIPYA : JOH MAKINI Ft. GNAKO – XO [Official Video] Reviewed by crispaseve on 10:22 Rating: 5

No comments

Post AD