Header AD

LUDACRIS AMCHUMBIA MPENZI WAKE KWENYE NDEGE

Ludacris X Eudoxie
Luda na mpenzi wake Eudoxie
Rapa Ludacris ameamua kufanya kweli baada ya kumchumbia mpenzi wake aliyedumu nae kwa kipindi kirefu aitwae Eudoxie wakati wakiwa kwenye ndege ya kukodi wakielekea nchini Costa Rica kwa ajili ya mapumziko mafupi ya Christmas na Mwaka mpya
Kama sehemu ya ombi, Luda alimsapraiz mpenzi wake kwa kumuonyesha maneno yaliyoandikwa ”Eudoxie, will you marry me?  wakati ndege yao ikiruka juu ya eneo hilo, tukio lililoshuhudiwa na marafiki zao wa karibu Monica na Shannon Brown..
”She didn’t say yes. She said HELL YES! #milehighproposal aliandika Ludacris kwenye ukurasa wake rasmi wa twitter.
Luda
Baada ya Luda kumsapraiz mpenzi wake
Ludacris
Ludacris na marafiki zake wa karibu baada ya kutua nchini Costa Rica
LUDACRIS AMCHUMBIA MPENZI WAKE KWENYE NDEGE LUDACRIS AMCHUMBIA MPENZI WAKE KWENYE NDEGE Reviewed by crispaseve on 10:28 Rating: 5

No comments

Post AD