Header AD

MBUNGE MACHACHARI KUTOKA LUDEWA -CCM DEO FILIKUNJOMBE AWANUSURU KIAFYA WAKAZI WA DODOMA,AWAPA MSAADA WA VIFAA VYA MAJI VYENYE THAMANI YA ZAIDI YA TSH MILIONI 14.5


Mbunge wa  jimbo la  Ludewa Deo Filikunjombe akinywa maji kwa majani ya miti baada ya kuzindua mradi wa maji na kukabidhi vifaa vya kuvuta maji  vyenye thamani ya zaidi ya Tsh milioni 14.5 kwa wakazi wa kitongoji cha Dodoma kijiji  cha Amani Ludewa 
Mbunge wa Ludewa  Deo Filikunjombe akisoma maandishi mara baada ya kuzindua mradi wa maji kitongoji cha Dodoma kijiji cha Amani 
Mbunge   Filikunjombea  akifurahia  utamu wa maji 
Mbunge  Filikunjombe kushoto  akifurahia utamu wa maji 


Mbunge wa  Filikunjombe na viongozi wa  kitongoji cha Dodoma kijiji cha Amani  wakipanda mlima  mkali  pindi  walipotoka  kutazama  chanzo cha maji
MBUNGE MACHACHARI KUTOKA LUDEWA -CCM DEO FILIKUNJOMBE AWANUSURU KIAFYA WAKAZI WA DODOMA,AWAPA MSAADA WA VIFAA VYA MAJI VYENYE THAMANI YA ZAIDI YA TSH MILIONI 14.5 MBUNGE MACHACHARI KUTOKA LUDEWA -CCM DEO FILIKUNJOMBE AWANUSURU KIAFYA WAKAZI WA DODOMA,AWAPA MSAADA WA VIFAA VYA MAJI VYENYE THAMANI YA ZAIDI YA TSH MILIONI 14.5 Reviewed by crispaseve on 07:52 Rating: 5

No comments

Post AD