Header AD

PSPF YAPATA TUZO YA KIMATAIFA KWA KUTOA HUDUMA BORA KWA WATEJA WAKE

unnamedBalozi wa PSPF Bw.Mrisho Mpoto alionesha tuzo iliyotolewa na Taasisi ya Kimataifa ya kusimamia Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (ISSA) kwa Mfuko wa Pensheni wa PSPF kwa ajili ya kwa  kutumiaTeknolojia ya Habari na Mawasilino katika utunzaji wa kumbukumbu za wateja na kwa kuwasiliana na wateja wake kwa kutumia simu za mikonono, kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Bw. Adam Mayingu.
PSPF YAPATA TUZO YA KIMATAIFA KWA KUTOA HUDUMA BORA KWA WATEJA WAKE PSPF YAPATA TUZO YA KIMATAIFA KWA KUTOA HUDUMA BORA KWA WATEJA WAKE Reviewed by crispaseve on 07:54 Rating: 5

No comments

Post AD