Header AD

NesiWangu Show...........Malaria Kit

NesiWangu Show ni kipindi kinachokusudia kuongeza mwako katika uwanja wa Afya, upatikanaji wa huduma zake na elimu-afya kwa jamii.
Katika kipindi hiki, tunazungumza na Mkurugenzi wa Jenga Tanzania Foundation, Nassor Basalama anayezungumzia kuhusu kipimo cha Malaria ambacho Jenga Tanzania Foundation inapanga kukisambaza bure kwa watu wa kipato cha chini nchini Tanzania. Karibu uungane nasi
 
NesiWangu Show...........Malaria Kit NesiWangu Show...........Malaria Kit Reviewed by crispaseve on 00:13 Rating: 5

No comments

Post AD