Header AD

PICHA : BEYONCE, BLUE IVY WASHEREKEA BIRTHDAY YA JAY Z KATIKA KISIWA CHA ICELAND


 Beyonce1  Jay Z na Beyonce wakiwa ndani ya helkopta waliyokodi wakielekea katika kisiwa cha Iceland kula bata
BeyonceBeyonce akicheza na binti yake Blue Ivy kwenye helikopta
Jay X Bey IcelandBeyonce akikitazama kisiwa na Iceland kwa mbali
Jay ZJay Z akiwa ameuchapa usingizi kutokana na uchovu wa safari ndefu angani
icelandHali halisi ilivyo katika kisiwa cha iceland…Barafu imetapakaa kila kona
o-BEYONCE-570Beyonce akipata ukodani huku akiwa amejilaza kwenye ardhi yenye seruji ya Iceland baada ya kuwasili
Bey and Jay ZChampagne mbili zilizoandaliwa kwa ajili ya Mr & Mrs Carter
Jay Z X Beyonce Knowles 
Drunk In Love!!! Jay Z na Beyonce wakigonga cheers baada ya kutua iceland
o-BEYJICELAND-570Jay Z na Beyonce wakipata ukodaki mbele ya maporomoko ya maji 
Jay X Bey X Christmas Eve 
Jay Z na Beyonce wakitalii katika kisiwa hicho chenye barafu
Bey 
Beyonce akiwa ndani ya bwawa la kuogelea katika hoteli waliyofikia
Bey X JayMr & Mrs Carter ndani ya Swimming Pool wakiponda  raha za Dunia
rs_560x415-141224102320-1024.beyonce-jayz3
Beyonce akimuandalia keki ya Birthday mumewe ambaye ametimiza umri wa miaka 45 (Dec.04) mwaka huu  katika hoteli ya kifahari ya Ultra Luxe Trophy Lodge
PICHA : BEYONCE, BLUE IVY WASHEREKEA BIRTHDAY YA JAY Z KATIKA KISIWA CHA ICELAND PICHA : BEYONCE, BLUE IVY WASHEREKEA BIRTHDAY YA JAY Z KATIKA KISIWA CHA ICELAND Reviewed by crispaseve on 15:29 Rating: 5

No comments

Post AD