Header AD

PICHA ZA ALICHOKIFANYA LADY JAYDEE NYUMBANI KWAKE SIKU YA BOXING DAY

Lady Jaydee akiwa na jamaa zake wa karibu

Wakati waumini wa dini ya kikristo Duniani kote wakisherekea sikukuu ya Christmas, Msanii wa muziki wa kizazi kipya hapa Bongo, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ aliamua kujipongeza na watu wake wa karibu kwa kuwaandalia hafla ndogo nyumbani kwake Masaki  siku ya Boxing Day(Dec.26).
Miongoni mwa watu mashuhuri waliohudhuria ni pamoja na Professor Jay, mbunge wa viti maalum Catherine Magige, mbunge wa bunge la Afrika Mashariki Shy-Rose Bhanji, Rapa wa kike kutoka Nairobi Nazizi  na Dabo.  Cheki picha za kilichojiri hapo chini.
Lady Jaydee akiwa na jamaa zake wa karibu
Lady Jaydee akiwa na jamaa zake wa karibu
Lady Jaydee na Diana
Lady Jaydee na Diana
Lady Jaydee na Prof.Jay wakipata ukodaki
Lady Jaydee na Prof.Jay wakipata ukodaki
Shy Rose Bhanji, Nazizi na Lady jaydee
Shy-Rose Bhanji, Nazizi na Lady jaydee
Professor Jay, Jide na mdau
Professor Jay, Jide na mdau
Jaydee B'Day1
Mjengoni kwa Anaconda
Jaydee 1 Jaydee B'day
PICHA ZA ALICHOKIFANYA LADY JAYDEE NYUMBANI KWAKE SIKU YA BOXING DAY PICHA ZA ALICHOKIFANYA LADY JAYDEE NYUMBANI KWAKE SIKU YA BOXING DAY Reviewed by crispaseve on 10:20 Rating: 5

No comments

Post AD