JAMANI SERIKALI TUPIENI MACHO BARABARA YA KIVULE DARAJA LA SIRALI LINABOMOKA
Hili lilisha peleka mzigio sasa linarudi.
Lori
kubwa mizigo likipita katia daraja la Sirali, Kata ya Kivule Wilaya ya
Ilala, Dar es Salaam jana huku daraja hilo likiwa bovu na endapo lisipo
fanyiwa matengenezo mapema linaweza kusababisha maafa au kukata kwa
mawasiliano katika eneo hilo.
Magari ya mizigo yanayopita njia hiyo ni mengi kutokana na mahitaji ya bidhaa wanazopeleka.
Magari
madogo yakipita katika daraja hilo lililopo mto Mzinga. Jitihada za
haraka zinahitajika kulikarabati daraja hilo kabla ya wanachi hao kukosa
mawasiliano ya barabara pindi mvua zitakapo anza kunyesha baadae mwaka
huu.
JAMANI SERIKALI TUPIENI MACHO BARABARA YA KIVULE DARAJA LA SIRALI LINABOMOKA
Reviewed by crispaseve
on
09:52
Rating:

Post a Comment