SKULI YA SECONDARY YA FARAJA YAFUNGULIWA ZANZIBAR.
Jengo la Skuli ya Secondary ya Faraja lililofunguliwa na Makamo wa Pili
wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi Kwamtipura Mjini Zanzibar ikiwa
ni miongoni mwa shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya
Zanzibar.
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akikunjuwa
Kitambaa ikiwa ni ishara ya Ufunguzi wa Skuli ya Secondary ya Faraja
Kwamtipura Mjini Zanzibar ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za
Maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar.
-Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akitembelea
maeneo mbali mbali ya Skuli ya Secondary ya Faraja Kwamtipura Mjini
Zanzibar baada ya kuifungua rasmi ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za
Maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi kushoto
akisalimiana na Muwakilishi wa Jimbo la Kwamtipura Hamza Hassan katika
ufunguzi wa Skuli ya Secondary ya Faraja Kwamtipura Mjini Zanzibar ikiwa
ni miongoni mwa shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya
Zanzibar.
-Baadhi ya Walimu na wananchi mbalimbali waliohudhuria katika Ufunguzi
wa Skuli ya Secondary ya Faraja Kwamtipura Mjini Zanzibar ikiwa ni
miongoni mwa shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya
Zanzibar.
-Wanafunzi wa Madrasa ya Kamaria wakileta burudani ya Kasida katika
ufunguzi wa Skuli ya Secondary ya Faraja Kwamtipura Mjini Zanzibar
ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 51ya
Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamhuna akitoa
maelezo kuhusiana na Skuli ya Secondary ya Faraja iliofunguliwa na
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi Kwamtipura Mjini
Zanzibar ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za Maadhimisho ya miaka
51ya Mapinduzi ya Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
SKULI YA SECONDARY YA FARAJA YAFUNGULIWA ZANZIBAR.
Reviewed by crispaseve
on
10:01
Rating:

Post a Comment