MTAZAME MTOTO WA ALICIA KEYS NA SWIZZ BEATZ AKIPIGA KINANDA
Ama
kweli mtoto wa nyoka ni nyoka. Mtoto wa kwanza wa kiume wa Alicia Keys
na Swizz Beatz, Egypt, ameonyesha kufuata nyayo za wazazi wake baada ya
kuonekana akipiga kinanda kwa kufuatisha ala za nyimbo za mwanamuziki
Charlie Brown.
”Focused pt2 Charlie Brown Theme by #EgyKeys”
while Alicia reposted the clip with the caption, “He LOVES this!! Every
morning waking the whole house up!!! So cute!!! Somebody’s got the bug!!“,
aliandika Swizz kwenye ukurasa wake wa Instagram sambamba na ku-post
video fupi ikimuonyesha mtoto wake huyo mwenye umri wa miaka 4 akipiga
kinanda.
Ikumbukwe kuwa mwanamuziki Alicia Keys ni mkali wa kupiga
kinanda halikadhalika na Siwzz ambaye ni mtayarishaji wa muziki. Sasa
pata picha mtoto wao atakuwaje???
MTAZAME MTOTO WA ALICIA KEYS NA SWIZZ BEATZ AKIPIGA KINANDA
Reviewed by crispaseve
on
01:47
Rating:
Post a Comment