Waumini wa Mwembetanga kwa Karagosi waadhimisha Maulidi ya Mfunga Sita
Vijana
na wazee wa kiIslamu wa M/Tanga wamefanikisha kuadhimisha Maulid ya
Mtume Muhammad Salallahu alayhi wasalam, yaliosomwa Siku ya Jumanne Jan
13 ,2015 sawa na Rabii Awal 143.
Maulidi
hayo walioaza rami mida ya Saa tatu usiku maraa tu baada kusaliwa sala
ya Ishaa, katika Mtaa wa Mwembetanga maarufu (Kwa Karagosi) Zanzibar
ambapo Wazee na vijana hao huuandaa maulidi kila mwaka, ifikapo mwezi wa
kuzaliwa Mtume Muhammed S.A.W

Mapambo
ya jukwaa: Maandalizi ya jukwaa maalumu kwaajili ya KUMSIFU na kumsalia
MTUME Muhammed S.A.W katika Maulidi ya Mfungo Sita yaliofanyika rasmi
mtaa wa M/Tanga Siku ya Jumanne Jan 13, 2015 sawa Rabii Awal 1436
(Picha na Mussa Yussuf)

Wanafunzi
wa Madrasa Ya Sharif Aboud kutoka vikokotoni wakisoma kasida za
Kumsifu Mtume Muhammed S.A.W katika Maulidi ya Mfungo Sita yaliofanyika
rasmi mtaa wa M/Tanga

Muongozaji
Maulidi ya Mwembetanga kwa karagosi MC Imam Sadat Fadhil Abdullah
akiongea Mipangilio ya maulid kwa ratiba maalumu iliopangwa na wana
kamati Ya maandalizi ya Maulidi hayo.

Wazee
wa mtaa wa M/Tanga Hajji AbdulAziz akiea na Sheik Ahmed wakiwa makini
kusikiliza maulid ya Mtume Muhammad Salallahu alayhi wasalam,
yalioandaliwa na vijana pamoja na wazee wawa M/Tanga Siku ya Jumatatu
Jan 13, 2014 Zanzibar.
Maalim: Dr. Muhidin Siasa (kulia) na mwazake wakisikiliza Mtume Muhammad
Salallahu alayhi yaliofanyika rasmi mtaa wa M/Tanga Siku ya Jumanne
Jan 13, 2015 sawa Rabii Awal 1436
Maalim: Dr. Muhidin Siasa (kulia) na mwazake wakisikiliza Mtume Muhammad
Salallahu alayhi yaliofanyika rasmi mtaa wa M/Tanga Siku ya Jumanne
Jan 13, 2015 sawa Rabii Awal 1436

Waumini
wa kiIslamu kutoka maeneo mbali mbali wakiwa katika maulid ya Mtume
Muhammad Salallahu alayhi wasalam, yalioandaliwa na vijana pamoja na
wazee wawa M/Tanga Siku ya Jumatatu Jan 13, 2014 Zanzibar
Waandaaji wa maulid hayo Imam Sadat akipata picha ya pamoja na Hudheif A
Shatry katika maulidi Ya mfungo sitta yaliofanyika Siku ya Jumatatu Jan
13, 2014 Zanzibar katika Mtaa wa M/Tanga Zanzibar

Waumini
wa kiIslamu kutoka maeneo mbali mbali wakiwa katika maulid ya Mtume
Muhammad Salallahu alayhi wasalam, yalioandaliwa na vijana pamoja na
wazee wawa M/Tanga Siku ya Jumatatu Jan 13, 2014 Zanzibar
Waumini wa Mwembetanga kwa Karagosi waadhimisha Maulidi ya Mfunga Sita
Reviewed by crispaseve
on
02:03
Rating:

Post a Comment