Header AD

BABA MZAZI WA DULLY SYKES AZIKWA JIONI HII MAKABURI YA KISUTU,JIJINI DAR


Mwili wa baba wa msanii wa muziki wa kizazi kipya Dully Sykes,Marehemu Ebby Sykes ukiswaliwa nyumbani  kwa kaka wa marehemu maeneo ya Kawe jijini Dar leo mchana.Marehemu EbbySykes amezikwa jioni hii kwenye makaburi ya Kisutu.
 Mwili wa Marehemu Ebby Sykes ukipandishwa kwenye gari kwa safari ya kwenda kwenye mazishi,makaburi ya Kisutu jijini Dar jioni hii.
 Msanii wa muziki wa kizazi kipya Dully Sykes akiwa amepanda gari lililobeba mwili wa Marehemu baba yake kwa safari ya kwenda kupumzishwa kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar leo
Baadhi ya wasanii pamoja na ndugu na jamaa waliofika kwenye msiba wa marehemu Ebby Sykse
BABA MZAZI WA DULLY SYKES AZIKWA JIONI HII MAKABURI YA KISUTU,JIJINI DAR BABA MZAZI WA DULLY SYKES AZIKWA JIONI HII MAKABURI YA KISUTU,JIJINI DAR Reviewed by crispaseve on 01:42 Rating: 5

No comments

Post AD