BONDIA CHEKA ATUPWA JELA MIAKA MITATU
Bondia
Francis Cheka (kulia) akiwa amepanda ndani ya gari la polisi baada ya
kuhukumiwa miaka mitatu jela kwa kumpiga meneja wa baa yake ambapo
atamlipa fidia ya sh. milioni moja. Hukumu hiyo ilitolewa na Mahakama ya
Hakimu Mkazi ya Morogoro.
Cheka akiongea jambo wakati akipanda gari la polisi
BONDIA CHEKA ATUPWA JELA MIAKA MITATU
Reviewed by crispaseve
on
05:40
Rating:
Post a Comment