Picha Mbali Mbali za Sherehe ya THT Kusherehekea Miaka Kumi, Amini Alia Jukwaani na Mkewe Kwa Furaha
Amini Akilia jukwaani na Mkewe |
Jana Jumba la Vipaji Tanzania THT walisherehekea Miaka Kumi toka
Kuanzishwa Kwake Pale Escape 1, Mambo yalikuwa matamu sana kwani wasanii
wote walio.....
pitia katika Jumba Hilo la Vipaji walitoa Burudani safi kabisa ya live
na kufanikiwa kuwagonga nyoyo mashabiki waliofurika kushuhudia Tukio
Hilo...Mpiga picha wa Udaku Specially Eli Ulomi Aliweza Kupata
Matukio Mbali Mbali Likiwemo la Amini na Mkewe Kulia Kwa Furaha Jukwaani
, Amini na Mkewe wote ni zao la THT , walikutana Hapo na Mwisho
ikazaliwa Ndoa..
Picha Mbali Mbali za Sherehe ya THT Kusherehekea Miaka Kumi, Amini Alia Jukwaani na Mkewe Kwa Furaha
Reviewed by crispaseve
on
02:16
Rating:
Post a Comment