SEND OFF YA ZOURHA MALISA WA TIMES FM RADIO YAFANA DAR
MAKAMU WA RAIS DKT.
BILAL AMFARIJI JAJI MSTAAFU AGOSTINO RAMADHANI KWA KUFIWA NA MAMA YAKE
MSAZI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya M uungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed
Gharib Bilal akisaini kitabu cha kumbukukmbu kufuatia kifo cha mama
mzazi wa Jaji Mkuu mstaafu Agostino Ramadhani nyumbani kwake Kimara leo
Februar 06, 2015 alipofika kwa ajili ya kumfariji.
Maka wa Rais wa Jamhuri ya M uungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed
Gharib Bilal akiwafariji wana familia ya Jaji Mkuu mstaafu Agostino
Ramadhani alipomtembelea nyumbani kwake Kimara leo Februar 06, 2015,
kutokana na kufiwa na mama yake mzazi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed
Gharib Bilal akizungumza na Jaji Mkuu mstaafu Agostino leo
alipomtembelea nyumbani kwake kimara leo Februar 06, 2015 kwa ajili ya
kumfariji kutokana na kufiwa na mama yake mzazi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akiagana na Jaji Mkuu mstaafu Agostino Ramadhani Baada ya
kumfariji kutokana na kufiwa na mama yake mzazi alipomtembelea nyumbani
kwake Kimara leo Februar 06, 2015. (Picha na OMR)
Posted by Richard Mwaikenda at Saturday, February 07, 2015 0 comments
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest
Friday, February 6, 2015
ZOURHA MALISA NA ZURI WA 100.5 TIMES FM RADIO KUWA MWILI MMOJA
Mtayarishaji wa Vipindi wa Radio FM, Zourha akimkabidhi zawadi ya
Laptop mume wake mtarajiwa ambaye pia ni Mtalaamu wa IT wa kituo hicho,
George Zuri wakati wa sherehe ya kuagwa jana kwenye Ukumbi wa Quality
Centre, Dar es Salaam.PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA WA KAMANDA
WA MATUKIO BLOG
Bibi Harusi mtarajiwa, Zourha akilia baada ya kuagwa na babake, Malisa
kushoto
Zourha akiwapatia keki wazazi wake wakati wa sherehe hiyo
Wafanyakazi wenzie na baba wa Zourha, Mzee Malisa kutoka Kampuni ya Bia
Tanzania (TBL), wakiwa na furaha wakati wa sherehe hiyo
Zourha na mpambe wake Mary Thomas wakicheza muziki
Zourha na mpambe wake Mary Thomas
Shampain ikifunguliwa
Zourha akigongeana glasi za champain na wageni waalikwa kwenye sherehe
hiyo
Zourha akicheza ngoma ya asili ya kabila la wanyaturu na ndugu jamaa
na marafiki pamoja na wageni waalikwa
Zourha akicheza muziki namarafiki zake
Zourha akizawadiwa na wazazi wake ramani ya nyumba na sh, mili 5 za
kusaidia ujenzi wa nyumba
Mzee Malisa akikata keki aliyoandaa kwa ajili ya sherehe hiyo
Bwana harusi mtarajiwa George Zuri akiwa katika picha ya pamoja na
mkewe mtarajiwa Zourha pamoja na shemeji yake
Zourha na George wanapendeza
Mzee Malisa akipiga picha na mkewe (kushoto) Zourha (kulia0 na mwanawe
mwingine
Zourha akizwadiwa
Zourha akicheza muziki na waandishi wa habari wa gazeti la Majira
aliuwahi fanya nao kazi kabla ya kuhamia Times Fm Radio
Zourha akiagwa na waandishi wa habari wa Majira
Posted by Richard Mwaikenda at Friday, February 06, 2015 0 comments
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest
NAPE ATEMBELEA GAZETI LA JAMBO LEO
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye (kushoto) akifafanua
jambo alipokuwa akizungumza na Mmoja wa wakurugenzi wa Kampuni ya Jambo
Concepts Tanzania Limited (JCTL), Theophil Makunga (anayecheka)
alipotembelea chumba cha habari cha magazeti ya Jambo Leo, StaaSpoti na
Jarida la Jambo Brand Tanzania, Dar es Salaam leo.
Nape alizungumzia uhifadhi wa historia ya kuzaliwa kwa TANU, ambapo
katika nyumba ya kihistoria ilipozaliwa TANU Mtaa wa Lumumba, Dar es
Salaam watajenga jengo la kisasa katika Ofisi ndogo ya CCM ya Makao
Makuu, kwa kulijenga pia upya jengo hilo lenye historia kubwa.
Nape,pia alizungumzia jinsi chama hicho kitakavyoendesha mchakato wa
kumpata mgombea urais ndani ya chama hicho kwa kufuata Kanuni, taratibu
na Katiba ya chama hicho. atakayekwenda kinyume na mambo hayo
hatachaguliwa kuwania nafasi hiyo na asije akalaumu mtu wala chama.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye (kushoto) akimkabidhi
zawadi ya kalenda ya chama hicho, Mmoja wa wakurugenzi wa Kampuni ya
Jambo Concepts Tanzania Limited (JCTL), Theophil Makunga alipotembelea
chumba cha habari cha magazeti ya Jambo Leo, StaaSpoti na Jarida la
Jambo Brand Tanzania Dar es Salaam
Nape akifafanua jambo wakati wa mazungumzo hayo
Nape akiwa katika kitengo cha habari mpasukoo (Breaking News) cha
kampuni hiyo
Makunga akimuaga Nape pamoja na ujumbe wake. Kushoto ni Mkuu wa
Mawasiliano ya Umma wa CCM, Daniel Chongolo na Katibu wa Ofisi ya Nape,
Octavian (kulia0
Makunga na Nape wakifurahia jambo
Mkurugenzi wa Masoko wa JCTL, Juma Mabakila akichangia hoja wakati wa
mazungumzo hayonyuma yake ni baadhi ya wahariri wa Jambo Leo na StaSpoti
Nape na jumbe wake wakiondoka baada ya kutembelea Jambo Leo
Posted by Richard Mwaikenda at Friday, February 06, 2015 0 comments
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest
MATAWI YA SHIRIKA LA BIMA (NIC) NCHINI KOTE YAUNGANISHWA NA MKONGO WA
MAWASILIANO WA TAIFA
1Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa NIC Bw. Justin Mwandu
akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma za shirika hilo kupitia mkongo
wa taifa wa mawasiliano ambapo matawi yote nchini ya shirika hilo
yameunganishwa pamoja na makao makuu ili kurahisisha huduma za bima
zinazotolewa na Shirika hilo nchini kote, Amesema kwa sasa baada ya
Kampuni ya simu ya TTCL kufanya kazi nzuri ya kuunganisha mtandao wa
huduma za NIC nchini kote kupitia mkongo wa mawasiliano wa taifa mteja
anaweza kuhudumiwa mahali popote kama vile yuko makao makuu ya NIC Dar
es salaam bila kufuata huduma hiyo mbali. Hafla hiyo imefanyika kwenye
makao makuu ya NIC mtaa wa Samora jijini Dar es salaam leo, Katika picha
kulia ni Mkurugenzi wa shirika la simu Tanzania TTCL Dr. Kamugisha
Kazaura. 2Mkurugenzi wa shirika la simu Tanzania TTCL Dr. Kamugisha
Kazaura akielezea kazi nzuri iliyofanywa na shirika lake la TTCL katika
kuunganisha matawi ya NIC mikoani na Makao makuu ili kuleta pamoja
huduma za bima zinazotolewa na shirika hilo hapa nchini, Kushoto ni
Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa NIC Bw. Justin Mwandu.
3Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa NIC Bw. Justin Mwandu. akipokea
cheti kutoka kwa Mkurugenzi wa shirika la simu Tanzania TTCL Dr.
Kamugisha Kazaura mara baada ya kukamilisha kazi ya kuunganisha shirika
hilo na mkongo wa mawasiliano wa taifa. 4Mkurugenzi wa shirika la simu
Tanzania TTCL Dr. Kamugisha Kazaura na wa tatu kutoka kulia na
Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa NIC Bw. Justin Mwandu wa pili
kushoto wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa hafla
hiyo kutoka kushoto ni Meneja mradi Bw. Mihayo Ngawalina kutoka TTCL ,
Mtaalam wa Idara ya Teknohama NIC Bw. Sam Kamanga na kushoto ni Peter
Ngota Afisa Mauzo na Masoko TTCL. 5Mtaalam wa Idara ya Teknohama NIC Bw.
Sam Kamanga akizungumza na kuuelezea mradi huo wakati wa hafla hiyo
kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa NIC Bw. Justin
Mwandu na Mkurugenzi wa shirika la simu Tanzania TTCL Dr. Kamugisha
Kazaura. 6 Meneja mradi Bw. Mihayo Ngawalina akielezea jinsi mradi huo
ulivyotekelezwa na faida zake kwa Shirika la Bima la Taifa NIC. 7Baadhi
ya maofisa na wakuu wa vitengo kutoka Shirika la Bima la Taifa NIC
wakifuatilia jambo wakati Meneja mradi wa TTCL alipokuwa aiuelezea.
8Kutoka kulia ni Maofisa kutoka mashirika hayo Leonard Laibu Mkurugenzi
wa Huduma kwa wateja, TTCL,wa tatu Peter Ngota Afisa Masoko na Mauzo na
Sam Kamanga Mtaalam wa Teknohama NIC 9Leonard Laibu Mkurugenzi wa Huduma
kwa wateja, TTCL kulia na baadhi ya maofisa wa shirika hilo wakiwa
katika hafla hiyo. 10Baadhi ya wanahabari waliohudhuria katika hafla
hiyo.
Posted by Richard Mwaikenda at Friday, February 06, 2015 0 comments
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest
Older Posts Home
Wanaotembelea Blogu hii
MATOKEO YA KIDATO CHA PILI
MATOKEO YA KIDATO CHA PILI
BOFYA HAPA KUTAZAMA
MATOKEO YA KIDATO CHA NNE HAYA HAPA
MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013 HAYA HAPA
Tanzania National Flag
Tanzania National Flag
Time
Dar es Salaam
The Digital Company
The Digital Company
Mtayarishaji:
Mtayarishaji:
Richard Mwaikenda
BONGO HITS
Find more music like this on GongaMx
Blog Archive
Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin
Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin
SEND OFF YA ZOURHA MALISA WA TIMES FM RADIO YAFANA DAR
Reviewed by crispaseve
on
05:37
Rating:
Post a Comment