Mama na Baba Mdogo,Kaka,Mjomba na watoto wa Kaka yake Na Rapper Stereo Wapoteza Maisha kwenye Ajali ya Moto
Mama mdogo, Baba Mdogo,kaka yake Mjomba na watoto wa Kaka yake Rapper Stero wamepoteza Maisha kwenye ajali ya moto iliyotokea leo maeneo ya Ukonga Banana jijini Dar Es Salaam
Hii ndiyo
nyumba iliyoteketea kwam moto na kusababisha vifo vya mama mdogo,baba
mdogo,kaka,mjomba na watoto wa kaka wa kaka yake rapper Stereo
Taarifa hii ilithibitishwa na watu wake wa karibu akiwemo Nikki Mbishi na Songa
"Nimefiwa nababa mdogo(last born wa marehemu baba yangu)mama
mdogo,kaka,uncle, na watoto wa kaka yangu,wameungua na moto usiku wa
kuamkia leo''Nikki amenukuu ujumbe aliotumiwa leo na Stereo
Bado haijafahamika chanzo cha ajali ya moto huo jitihada za kumtafuta
Stereo ziligonga mwamba kutokana na simu yake kutokuwa hewani
Bamiza Blog inampa pole kwa msiba huo
Mama na Baba Mdogo,Kaka,Mjomba na watoto wa Kaka yake Na Rapper Stereo Wapoteza Maisha kwenye Ajali ya Moto
Reviewed by crispaseve
on
13:05
Rating:
Post a Comment