Header AD

TFF imeamka sasa baada ya kuamua kumfungia kitasa wa Mbeya City Juma Said Nyosso

Nyosso atakaa nje mechi nane baada ya kumdhalilisha Mshambuliaji wa Simba Elias Maguri wapokutana January 28 Mwaka huu
 Pamoja na Nyosso Beki wa Azam Fc Agrey Morris naye amefungiwa mechi 3 baada ya kumpiga Kiwiko kiungo Mshambuliaji wa Simba Sc Emmanuel Okwi timu hizo zilipokutana January 25 mwaka huu
TFF imeamka sasa baada ya kuamua kumfungia kitasa wa Mbeya City Juma Said Nyosso TFF imeamka sasa baada ya kuamua kumfungia kitasa wa Mbeya City Juma Said Nyosso Reviewed by crispaseve on 13:10 Rating: 5

No comments

Post AD