Header AD

She is Very Preginant:Tazama Ujauzito wa Zari Ulivyokuwa (Picha)

Siku zilizo salia za Diamond kuwa 'baba' zina zidi kuyoyoma.Zari the Boss Lady,Mchuma wake staa huyo wa 'Mdogo mdogo' anaye tarajia kumpa mtoto wa kwanza ameendelea kuonekana kama wasemavyo waingereza'Very Preginant'
 Mrembo huyo wauganda ameshare picha yake kwenye mtandao wa Facebook kitumbo chake kinavyozidi kuwa kikubwa.Jionee picha zaidi hapa chini

She is Very Preginant:Tazama Ujauzito wa Zari Ulivyokuwa (Picha) She is Very Preginant:Tazama Ujauzito wa Zari Ulivyokuwa (Picha) Reviewed by crispaseve on 13:13 Rating: 5

No comments

Post AD