SHOW YA SAUTI SOL ILIVYOBAMBA KATIKA JEMBEKA PARTY JIJINI MWANZA.
Sauti
Sol toka nchini Kenya mwishoni mwa wiki (21/02/2015) wamepiga show ya
kufufuka mtu ndani ya kiota cha burudani chanye hadhi ya kitalii Jembe
Beach ndani ya party lililopewa jina la JEMBEKA, likiandaliwa na Kituo
kipya cha redio jijini Mwanza Jembe FM 93.7.
Mashabiki walitoa ushirikiano wa kila htua zilizokuwa zikiendelea stejini.![]() |
| Hapo vijEee....!! |
![]() |
| Kenyan Afro Pop (2014 MTV EMA Best Worlwide Act Nominees) walifanya kazi ya ukweli.. |
SHOW YA SAUTI SOL ILIVYOBAMBA KATIKA JEMBEKA PARTY JIJINI MWANZA.
Reviewed by crispaseve
on
07:06
Rating:
Reviewed by crispaseve
on
07:06
Rating:



Post a Comment