PICHA MAALUM KUTOKA IKULU:RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA RASMI AZAM TV JIJINI DAR ES SALAAM

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa na Bw. Saidi Salim Bakhressa
wakati alipohudhuria sherehe za uzinduzi rasmi wa studio mpya za
stesheni hiyo iliyopo Tabata Relini jijini Dar es salaam jana Machi 6,
2015.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri wa Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara wakitmbezwa sehemu mbali
mbali za Azam TV na mwenyeji wao Bw. Saidi Salim Bakhressa wakati wa
sherehe za uzinduzi rasmi wa studio mpya za stesheni hiyo iliyopo Tabata
Relini jijini Dar es salaam jana Machi 6, 2015.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo kutoka kwa fundi mitambo
Mkuu wa Azam TV Bw. Mehdoub al
Hadad juu ya namna gari la kurusha
matangazo nje ya studio (OB Van) linavyofanya kazi wakati wa sherehe za
uzinduzi rasmi wa studio mpya za stesheni hiyo iliyopo Tabata Relini
jijini Dar es salaam jana Machi 6, 2015.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Naibu Mkurugenzi wa Azam TV Bw.
Dunstan Tido Mhando wakati wa
sherehe za uzinduzi rasmi wa studio mpya
za stesheni hiyo iliyopo Tabata Relini jijini Dar es salaam jana Machi 6,
2015.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitangaza rasmi kuzinduliwa
kwa studio mpya za stesheni ya Azam TV Tabata Relini jijini Dar es
salaam jana Machi 6, 2015. Pamoja naye kwenye kilinge cha utangazaji ni
mmiliki wa stesheni hiyo Bw. Saidi Salim Bakhressa

RAis Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa
Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara pamoja na
uongozi na baadhi ya wafanyakazi wa Azam TV wakati wa sherehe za
uzinduzi rasmi wa studio mpya za stesheni hiyo iliyopo Tabata Relini
jijini Dar es salaam jana Machi 6, 2015
PICHA MAALUM KUTOKA IKULU:RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA RASMI AZAM TV JIJINI DAR ES SALAAM
Reviewed by crispaseve
on
02:35
Rating:
Reviewed by crispaseve
on
02:35
Rating:

Post a Comment