SOMA MAJINA YA ABIRIA 64 WALIOKUWA WAKISAFIRI NA BASI LA MAJINJA JANA NAKUPATA AJALI MKOANI IRINGA
Foleni ya magari katika eneo la Changarawe baada ya ajali hiyo.
katika hospitali ya Mkoa Iringa kwa matibabu. Abiria 42 walipoteza maisha katika ajali hiyo.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Barabarani mkoa wa Iringa, Salim Asas
Abri (kulia) akiwa na
viongozi wengine wakiwajulia hali manusura wa ajali hiyo.
Kontena lilokuwa limepajkiwa katika lori la mizigo Scania
namba T 689 APJ, mali ya Cipex Company likiwa
limelalia juu ya basi lenye namba za usajili T438 CED, mali ya kampuni ya Majinja na kusababisha vifo vya watu 42 na wengine kadhaa kujeruhiwa jana katika eneo la Changarawe, nje kidogo ya mji wa Mafinga mkoani Iringa leo.
---
MAJINA YALIYOPATIKANA HADI SASA NI: Baraka
Ndone (dereva), Yahya Hassan ( kondakta), Ester Emanuel, Lusekelo
Enock, Jeremia Watson, Digna Solomoni, Frank Chiwango, Luteni Sanga, Teresia
Kamingage, Dotto Katuga, Ester Fidelis, Paulina Justine, Mbamba Ipyana,
Catherine Mwate, Mwajengo, Ndulile Kasambala, Zera Kasambala, Rebeka Kasambala,
Shadrack Msigwa, Mathias Justine, Juliana Bukuku, Cristina Lyimo, Martin Haule
na Dominick Mashauri, Omega Mwakasege.
SOMA MAJINA YA ABIRIA 64 WALIOKUWA WAKISAFIRI NA BASI LA MAJINJA JANA NAKUPATA AJALI MKOANI IRINGA
Reviewed by crispaseve
on
09:41
Rating:

Post a Comment