VYANDARUA MILIONI 24 KUGAIWA BURE NCHI NZIMA
KAIMU
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Michael John
akiandika maswali aliyeulizwa na waandisshi wa habari (hawapo pichani )
juu ya maadhimisho ya siku ya malaria duniani iliyofanyika leo katika
ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini ,Dar es Salaam,Kushoto ni Mwakilishi wa
Shirika la Afya Duniani -Tanzania ,Dk.Ritha Njau ,Kulia ni Naibu
Mkurugezi Kituo cha Utafiti cha Ifakara,Dk.Abdulrazq Badru.
Kaimu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Michael John
akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitangaza
siku ya malaria duniani inayoadhimishwa kila mwaka Aprili 25
iliyofanyika leo katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini ,Dar es
Salaam,Kushoto ni Naibu Mkurugezi Kituo cha Utafiti cha Ifakara
(IHI),Dk.Abdulrazq Badru.
.Meneja
wa Mpango wa Kudhibiti Malaria wa Wizara ya Afya na Ustawi wa
Jamii,DK.Ben Mandike akisisitiza jambo kwa waandishi habari juu ya
maadhimisho ya siku ya malaria Duniania iliyofanyika leo katika ukumbi
wa Mwalimu Nyerere jijini ,Dar es Salaam.
VYANDARUA MILIONI 24 KUGAIWA BURE NCHI NZIMA
Reviewed by crispaseve
on
04:08
Rating:

Post a Comment