AUNT EZEKIEL AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE
Imelda Mtema, Dar es Salaam
STAA wa filamu nchini, Aunt Ezekiel amebahatika kupata mtoto wa kike kwa kujifungua salama, jana mchana katika hospitali binafsi iliyopo Mbezi jijini Dar, baada ya kufanyiwa upasuaji.
STAA wa filamu nchini, Aunt Ezekiel amebahatika kupata mtoto wa kike kwa kujifungua salama, jana mchana katika hospitali binafsi iliyopo Mbezi jijini Dar, baada ya kufanyiwa upasuaji.
Imelda Mtema, Dar es Salaam STAA
wa filamu nchini, Aunt Ezekiel amebahatika kupata mtoto wa kike kwa
kujifungua salama, jana mchana katika hospitali binafsi iliyopo Mbezi
jijini Dar, baada ya kufanyiwa upasuaji.
Baba wa mtoto huyo ambaye ni dansa wa mwanamuziki Nassib Abdul
‘Diamond’, Moses Iyobo naye alionekana kuwa na furaha ambapo alisema
amefurahi kuona mpenzi wake amejifungua salama na anamshukuru Mungu kwa
kufanikisha hilo.
“Asante sana Mungu, Mungu ndiyo kamfikisha mpenzi wangu salama katika safari yake, name sasa naitwa baba,” alisema Iyobo.
“Asante sana Mungu, Mungu ndiyo kamfikisha mpenzi wangu salama katika safari yake, name sasa naitwa baba,” alisema Iyobo.
AUNT EZEKIEL AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE
Reviewed by crispaseve
on
05:07
Rating:

Post a Comment