CHAMA CHA WASAMBAZAJI WA FILAMU WAFIKIA MUAFAKA.
Baadhi
ya wadau wa filamu nchini ambao ni TRA, Bodi ya Filamu Tanzania na
Chama cha Wasambazaji wa Filamu wakiwa katika kikao ili kujadili
changamoto katika tasninia hiyo mapema juzi jijini Dar es Salaam. Picha zote na Frank Shija, WHVUM.
Afisa
Utafiti Mwandamizi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Ephraim Mdee
akifafanua jambo wakati wa kikao na wawakilishi wa Chama cha Usambazaji
wa Filamu nchini TAFDA walipokutana hivi karibuni ili kujadili
changamoto zitokanazo na ueneaji wa Filamu kutoka nje ya nchini.Kulia ni
Mwenyekiti wa Chama cha Wasambazaji wa Filamu Tanzania Bw. Emmanuel
Myamba (Pastor Myamba).
Katibu
Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo akisisitiza
jambo wakati wa kikao na wawakilishi wa Chama cha Usambazaji wa Filamu
nchini TAFDA walipokutana hivi karibuni ili kujadili changamoto
zitokanazo na ueneaji wa Filamu kutoka nje ya nchini.Katika kikao hicho
Serikali na wadau hao walifikia muafaka wakushirikiana kwa pamoja ili
kuongeza kasi ya kukabiliana na maharamia ya kazi za filamu nchini.Kulia
ni Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) Bw. Simon Mwakifamba na
kushoto ni Afisa Utafiti Mwandamizi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)
Bw. Ephraim Mdee.
Mmoja
wa wajumbe wa Chama cha Wasambazaji wa Filamu Tanzania TAFDA Bw.
Suleiman Ling’ande (katikati) akichangia mada wakati wa kikao na
wawakilishi wa Chama cha Usambazaji wa Filamu nchini TAFDA walipokutana
hivi karibuni ili kujadili changamoto zitokanazo na ueneaji wa Filamu
kutoka nje ya nchini.Katika kikao hicho Serikali na wadau hao walifikia
muafaka wakushirikiana kwa pamoja ili kuongeza kasi ya kukabiliana na
maharamia ya kazi za filamu nchini.
CHAMA CHA WASAMBAZAJI WA FILAMU WAFIKIA MUAFAKA.
Reviewed by crispaseve
on
00:30
Rating:
Post a Comment