MSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA MOSHI ,JAFARY MICHAEL ATOA MSAADA WA KOMPYUTA KWA SHULE YA MSINGI PASUA MJINI MOSHI.
![]() |
| Mwenyekiti wa shule ya msingi Pasua Shaban Machivya akizungumza wakati wa kikao cha wazi kilichofanyika katika shule hiyo. |
![]() |
| Msathiki Meya wa manispaa ya Moshi ,Jafary Michael akizungumza wakati wa kikao cha wazazi wa watoto wanaosoma katika shule hiyo. |
![]() |
| Mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi Jafary Michael akimkabidhi mwenyekiti wa Shule ya msingi Pasua Shabani Machivya msaada wa Kompyuta kwa ajili ya shule hiyo. |
![]() |
| Kompyuta zilizotolewa na msathiki Meya wa manispaa ya Moshi,Jafary Michael kwa ajili ya shule ya msingi Pasua. |
MSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA MOSHI ,JAFARY MICHAEL ATOA MSAADA WA KOMPYUTA KWA SHULE YA MSINGI PASUA MJINI MOSHI.
Reviewed by crispaseve
on
03:00
Rating:
Reviewed by crispaseve
on
03:00
Rating:





Post a Comment