TASWIRA MBALIMBALI KUTOKA KWENYE MKUTANO MKUU WA CCM MJINI DODOMA USIKU HUU
Meza
Kuu ikiongowa na Mwenyekiti wa CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
tayari kwa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi unaoendelea usiku huu
kwenye Ukumbi wa Mikutano wa CCM wa Dodoma Convition Centre, uliopo njia
ya Kuelekea Chuo Kikuu cha UDOM, Mjini Dodoma.
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Aliekuwa
Mgombea Urais na Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa wakati
alipowasili kwenye Ukumbi wa Mikutano wa CCM wa Dodoma Convition Centre,
uliopo njia ya Kuelekea Chuo Kikuu cha UDOM, Mjini Dodoma.
Baadhi ya Wake wa Viongozi wakiwa kwenye Mkutano huo.
Mmoja
wa Wagombea Urais alieingia kwenye hatua ya tatu bora, Dkt. John Pombe
Magufuli akiwasalimia baadhi ya wajumbe wa Mkutano huo.
Katibu
Mkuu wa CCM, Ndg. Abdulrahaman Kinana akizungumza jambo na Aliekuwa
Mgombea Urais na Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa wakati wa
Mkutano Mkuu wa CCM unaofanyika usiku huu kwenye Ukumbi wa Dodoma
Convition Centre, uliopo njia ya Kuelekea Chuo Kikuu cha UDOM, Mjini
Dodoma.
Mmoja
wa Wagombea Urais alieingia kwenye hatua ya tatu bora, Dkt. John Pombe
Magufuli akisalimiana na baadhi ya Mabalozi walioalikwa kwenye Mkutano
huo.
TASWIRA MBALIMBALI KUTOKA KWENYE MKUTANO MKUU WA CCM MJINI DODOMA USIKU HUU
Reviewed by crispaseve
on
14:26
Rating:
Post a Comment