Waziri Mhagama atoa taarifa ya hali ya dawa za kulevya nchini ya mwaka 2014
Waziri wa Nchi Ofisi
ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Mhe Jenista Mhagama (kulia) akitoa
taarifa kwa waandishi wa habari mwishoni mwa wiki mjini Dodoma kuhusu hali ya
dawa za kulevya nchini ya mwaka 2014 na jinsi dawa hizo zinavyoathiri afya na
nguvu kazi ya taifa. Kushoto ni Kamishna wa Tume ya Kuratibu Udhibiti wa Dawa
za kulevya nchini Keneth Kiseke.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,
Uratibu na Bunge, Mhe Jenista Mhagama (kushoto) akitoa taarifa kwa waandishi wa
habari mwishoni mwa wiki mjini Dodoma kuhusu hali ya dawa za kulevya nchini ya
mwaka 2014 na jinsi dawa hizo zinavyoathiri afya na nguvu kazi ya taifa. Kulia
ni Mfamasia Sehemu Elimu, Habari na Takwimu Tume ya Kuratibu Udhibiti wa Dawa
za kulevya nchini Amani Masami.
Waandishi wa habari
wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Mhe
Jenista Mhagama (hayupo pichani) wakati akitoa taarifa ya hali ya dawa za
kulevya nchini ya mwaka 2014 kwa waandishi wa habari mwishoni mwa wiki mjini
Dodoma.(Picha na Eleuteri
Mangi-MAELEZO, Dodoma)
Waziri Mhagama atoa taarifa ya hali ya dawa za kulevya nchini ya mwaka 2014
Reviewed by crispaseve
on
01:01
Rating:
Post a Comment