WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHIRIKI SALA YA IJUMAA MSIKITI WA ANWAR- MSASANI JIJINI DAR

Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waislamu baada ya kushiriki
katika Sala ya Ijumaa kwenye Msikiti wa Anwar, Msasani jijini Dar es
salaam Agosti 2, 2016.

Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kushiki sala ya Ijumaa
kwenye Msikitiwa Anwar, Msasani jijini Dar es salaam Agosti 2, 2016.

Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Bilal
wakishiriki katika sala ya Ijumaa kwenye Msikiti wa Anwar, Msasani
jijini Dar es salaam Agosti 2, 2016Picha Ofisi ya Waziri Mkuu
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHIRIKI SALA YA IJUMAA MSIKITI WA ANWAR- MSASANI JIJINI DAR
Reviewed by crispaseve
on
06:43
Rating:

Post a Comment