DK. SHEIN AHAMASISHA UCHANGIAJI MADAWATI YA SKULI ZA SERIKALI
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akipokea mfano wa Hundi ya Shilingi za Kitanzania Millioni Arobaini na
Mbili kutoka kwa Kanishna wa ZRB Amour Hamil Bakari (katikati) wakati
wa Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Serikali, katika
ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi-Zanzibar Mnazi mmoja Mjini
Unguja,(kulia) Mwenyekiti wa Kamati ya Uchangiaji Madawati na Waziri wa
nchi Ofisi ya Rais,Sheria,Katiba,Utumishi wa Umma na Utawala Boro
Mhe.Haroun Ali Suleiman,(kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali
pia naibu Mwenyekiti wa kamati Mhe,Riziki Pembe Juma akifuatiwa na Naibu
Kamishna wa ZRB Hadija Shamte,[Picha na Ikulu.] 22/04/2017
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar kwa Viongozi mbali mbali katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar Mnazi mmoja Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 22/04/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar kwa Viongozi mbali mbali katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar Mnazi mmoja Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 22/04/2017.
DK. SHEIN AHAMASISHA UCHANGIAJI MADAWATI YA SKULI ZA SERIKALI
Reviewed by crispaseve
on
04:28
Rating:
Post a Comment