Moto bado unaendelea kuwaka mpaka wakati huu,huku jitihada mbali mbali za kuuzima moto huo zikiendelea. Jitihada za kuuzi...
Soko la wafanyabiashara wadogo mchikichini eneo la Karume Ilala jijini Dar es Salaam limeungua moto huku wafanyabiashara katika soko hilo wakidai mfululizo wa matukio ya moto katika soko hilo ni njama zinazofanywa kwa siri ili kuwaondoa katika eneo hilo.
Reviewed by crispaseve
on
11:00
Rating:
Reviewed by crispaseve
on
11:00
Rating:
