Soko la wafanyabiashara wadogo mchikichini eneo la Karume Ilala jijini Dar es Salaam limeungua moto huku wafanyabiashara katika soko hilo wakidai mfululizo wa matukio ya moto katika soko hilo ni njama zinazofanywa kwa siri ili kuwaondoa katika eneo hilo.
Moto bado unaendelea kuwaka mpaka wakati huu,huku jitihada mbali mbali za kuuzima moto huo zikiendelea.
Jitihada za kuuzima moto huo bado zinaendelea.
Sehemu
ya wafanyakazi wa Kikosi zimamoto wakiendelea na zoezi la kuzima moto
ulioteketeza kabisa Soko la Ilala Mchikichini Jijini Dar es salaam jana
.Moto huo ulianza majira ya saa sita usiku wa kuamkia jana na
kuteketeza kila kilichokuwepo katika eneo la soko hilo. Chanzo cha
kutokea kwa moto huo bado hakijajulikana mpaka sasa.Picha zote na Othman
Michuzi.
Soko la wafanyabiashara wadogo mchikichini eneo la Karume Ilala jijini Dar es Salaam limeungua moto huku wafanyabiashara katika soko hilo wakidai mfululizo wa matukio ya moto katika soko hilo ni njama zinazofanywa kwa siri ili kuwaondoa katika eneo hilo.
Reviewed by crispaseve
on
11:00
Rating:
Post a Comment