NJOO TUCHEZE "Kikuku" STYLE ZINGINE KIBAO NA SKYLIGHT BAND NDANI YA THAI VILLAGE LEO
Warembo Anne na Neema wakiji-sexisha kwenye Ukodak.
Vijana
watanashati wa Skylight Band: Kutoka kushoto ni Joniko Flower, Sony
Masamba na Sam Mapenzi wakitoa burudani kwa mashabiki wa bendi hiyo
Ijumaa iliyopita kwenye uwanja wao wa nyumbani Thai Village -Masaki
jijini Dar. LEO PIA SIO YA KUKOSA ITAKUWA ZAIDI YA JANA..!
Maman
nangayi e napeli moto...maman nanga a napeli moto (x2)...Sony Masamba
a.k.a Fally Ipupa wa Bongo sambamba na Aneth Kushaba AK 47 wakiwapa raha
mashabiki wa Skylight Band.
Aneth Kushaba AK47 kwenye hisia kali.
Nani kama Skylight Band...?
Asanteni ndugu zangu eeeh..! Zemeneja the mutoto ya Kisukuma Aneth Kushaba AK 47.
Amsha amsha imeanza mdogo mdogo, twende kazi...!
Oh
I feel brand new....Every time I think about you...We can do anything
you wan do..Oh boy I want you to know that I got your back...Oh I feel
brand new..Eminado Eminado.....vitu adimu kutoka kwa Digna Mbepera ft
Hashim Donode wa Skylight Band.
NJOO TUCHEZE "Kikuku" STYLE ZINGINE KIBAO NA SKYLIGHT BAND NDANI YA THAI VILLAGE LEO
Reviewed by crispaseve
on
10:50
Rating:
Post a Comment