Header AD

Soko la wafanyabiashara wadogo mchikichini eneo la Karume Ilala jijini Dar es Salaam limeungua moto huku wafanyabiashara katika soko hilo wakidai mfululizo wa matukio ya moto katika soko hilo ni njama zinazofanywa kwa siri ili kuwaondoa katika eneo hilo. Soko la wafanyabiashara wadogo mchikichini eneo la Karume Ilala jijini Dar es Salaam limeungua moto huku wafanyabiashara katika soko hilo wakidai mfululizo wa matukio ya moto katika soko hilo ni njama zinazofanywa kwa siri ili kuwaondoa katika eneo hilo. Reviewed by crispaseve on 11:00 Rating: 5

Post AD