TAZAMA PICHA MBALIMBALI ZA WAZIRI WA FEDHA,SAADA MKUYA SALUM ALIPOWASILISHA MAPENDEKEZO YA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2014/2015 BUNGENI MJINI DODOMA JANA
Waziri
wa Fedha Saada Mkuya Salum akiwasili Bungeni alipokuwa anaenda kuwasilisha
hotuba ya mapendekezo ya Bajeti ya Serikali kuhusu makadirio ya mapato na
matumizi kwa mwaka wa fedha 2014/2015 mjini Dodoma.
Waziri
wa Fedha Saada Mkuya Salum akiwa amenyanyua Mkoba wenye Bajeti ya Serikali
alipokuwa anaenda kuwasilisha hotuba ya mapendekezo ya makadirio ya mapato na
matumizi kwa mwaka wa fedha 2014/2015 Bungeni mjini Dodoma.
Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda akiingia ukumbi wa
Bunge kwa ajili ya Bunge hilo kusomewa hotuba ya Bajeti ya Serikali na Waziri
wa Fedha Saada Mkuya Salum mjini Dodoma.
Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum
akisindikizwa na askari wa Bunge kwenda kusoma Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa
fedha 2014/2015 Bungeni mjini Dodoma.
Waziri
wa Fedha Saada Mkuya Salum akifungua Mkoba wenye Bajeti ya Serikali ili aanze
kuisoma.
Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum
akiwasilisha hotuba ya mapendekezo ya Serikali
kuhusu makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2014/2015 Bungeni
mjini Dodoma.
TAZAMA PICHA MBALIMBALI ZA WAZIRI WA FEDHA,SAADA MKUYA SALUM ALIPOWASILISHA MAPENDEKEZO YA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2014/2015 BUNGENI MJINI DODOMA JANA
Reviewed by crispaseve
on
11:05
Rating:
Post a Comment