ATC YAANZA SAFARI ZAKE LEO KUELEKEA ARUSHA, MWANZA NA DAR ES SALAAM
Kaimu Mkurugenzi wa shirika la ndege la ATC Bw. Paul Chizii kulia akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Mwanza mchana huu ambapo wafanyakazi pamoja na watu mbalimbali ambao wamekuwa wakitumia shirika hilo katika kusafiri wameonekana kufurahia sana kuanza kwa safari za shirika hilo
Katika uwanja wa ndege wa Mwanza kutakuwa na hafla fupi ya kupongezana na kukaribisha ndege hiyo ambapo pia keki itakatwa na kuliwa kwa kuashiria uzinduzi rasmi wa safari zake
Abiria mbalimbali wakishuka mara baada ya ndege hiyo kuwasili jijini Mwanza nchana huu.
Dada Lilian wa ATC akiwa katika pozi mara baada ya kushuka kwenye ndege hiyo leo mjini Mwanza.
Abiria wakishuka kwenye ndege.
Abiria wakishuka kwenye ndege mjini Mwanza
Reviewed by crispaseve
on
07:00
Rating:
Post a Comment