Tayari ndege mpya ya shirika la ndege la ATC aina ya Boeing 737-500 imeshatua katika uwanja wa ndege wa Kilimanjaro Internationl Airport kwa muda kabla ya kuelekea jijini Mwanza tena na kurudi jijini Dar es salaam katikati aliyeshika ua ni mtangazaji wa Clouds Said Bonge akishoo Love na mashabiki wake pamoja na wafanyakazi wa kiwanja cha ndege cha KIA leo hii katika uzinduzi rasmi wa safari zake.
Hii ndiyo ndege yenyewe ya ATC Boeing 737-500 ikiwa katika kiwanja cha ndege cha KIA muda huu kabla ya kuruka kuelekea jijini Mwanza kabla ya kurejea jijini Dar es salaam.
Reviewed by crispaseve
on
07:00
Rating:
Post a Comment